NYANGUMI MAARUFU 'JASUSI WA RUSSIA' AKUTWA AMEKUFA KATIKA MAJI

Thanks! Share it with your friends!

You disliked this video. Thanks for the feedback!

Added by MiAmigo
3 Views
Nyangumi mweupe aina ya beluga aitwaye "Hvaldimir," aliyeonekana kwa mara ya kwanza nchini Norway karibu na maji ya Urusi akiwa na kamba ambayo ilizua uvumi kuwa huenda ni jasusi wa Moscow, amepatikana akiwa amefariki dunia.

Shirika la utangazaji la umma la Norway NRK liliripoti kwamba mzoga wa nyangumi huyo ulipatikana ukielea kwenye Ghuba ya Risavika kusini mwa Norway Jumamosi na baba na mwanawe waliokuwa wakivua samaki.
Category
NORWEGIAN NEWS
Tags
Mwananchi, Thecitizen, Mwanaspoti
Commenting disabled.